Nukuu za Nyakati Zetu - Enock Maregesi - Grāmatas - Lulu.com - 9781716798986 - 2020. gada 27. jūnijs
Ja vāks un nosaukums nesakrīt, pareizs ir nosaukums

Nukuu za Nyakati Zetu


Saņemt e-pastu, kad prece būs pieejama
Do you have a profile? Pierakstīties
Ziemassvētku dāvanas var atgriezt līdz 31. janvārim
Saņemiet paziņojumus par jauniem Enock Maregesi izdevumiem
Pievienot savam iMusic vēlmju sarakstam

Not rated yet

Kitabu cha Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu ni mkusanyiko wa nukuu za Enock Maregesi, kila nukuu kuu na maana yake, kila siku na nukuu yake kwa mwaka mzima. Ni mkusanyiko wa nukuu kuu 365 zenye kuleta hamasa na msukumo wa mafanikio katika maisha ya mtu. Lengo la kitabu hiki ni mtu kuwa na nukuu katika kila jambo katika kila hali katika kila kipengele cha maisha yake, kupata amani ya moyo na uhuru wa nafsi, kama msingi wa mafanikio, katika maendeleo ya maisha yake kwa ujumla wake. Ukitaka kujitambua katika maisha yako jijibu maswali yafuatayo: Wewe ni nani? Umetoka wapi? Kusudi la maisha yako ni nini hapa duniani? Kisha tengeneza dira ya maisha ya nyuzi 360 inayozidi hata hatima ya maisha yako ya hapa. Kitabu cha Falsafa za Enock Maregesi: Nukuu za Nyakati Zetu kitakusaidia kutengeneza dira ya maisha inayozidi maisha yako ya hapa duniani. Aidha, kitakusaidia kupata angalau nukuu 12 za kwako mwenyewe zitakazokuongoza na kukupeleka katika mafanikio yako ya kimwili na ya kiroho pia.

Mediji Grāmatas     Paperback Book   (Grāmata ar mīksto vāku un līmēto muguru)
Izlaists 2020. gada 27. jūnijs
ISBN13 9781716798986
Izdevēji Lulu.com
Lapas 446
Izmēri 148 × 210 × 25 mm   ·   580 g
Valoda Swahili  

Vairāk no Enock Maregesi