Pastāsti draugiem par šo preci:
Idara Ya Usalama Wa Taifa: Ni Chombo Cha Mauaji? Godwin Chilewa Swahili edition
Idara Ya Usalama Wa Taifa: Ni Chombo Cha Mauaji?
Godwin Chilewa
Idara ya usalama wa Taifa ni chombo cha mauaji? Ilihusika vipi na vifo vya marehemu Horace Kolimba, Profesa Kighoma Ali Malima na Mzee Mahimbo? Kwa nini imeshindwa kuwadhibiti mafisadi, wauzaji wa madawa ya kulevya, wahujumu uchumi na wahalifu wengine nchini? Kwa nini wananchi wamekosa imani na idara hii? Je chombo hiki bado kinahitajika katika Tanzania ya leo? Mwandishi Godwin Chilewa anajibu maswali hayo pamoja na mengine mengi.
| Mediji | Grāmatas Paperback Book (Grāmata ar mīksto vāku un līmēto muguru) |
| Izlaists | 2015. gada 17. janvāris |
| ISBN13 | 9780692364017 |
| Izdevēji | GOSTCH Publishers |
| Lapas | 222 |
| Izmēri | 13 × 127 × 203 mm · 226 g |
| Valoda | Swahili |