Pastāsti draugiem par šo preci:
Mionzi YA Matumaini Jr Christopher R Mwashinga
Mionzi YA Matumaini
Jr Christopher R Mwashinga
Mionzi ya Matumaini ni kitabu kilichosheheni mashairi ya kutia hamasa, kurejesha matumaini na kuelekeza watu kukabili siku zijazo kwa nguvu, ari na ujasiri mkubwa. Kwa kusoma mashairi haya murua, kila mpenda ushairi wa Kiswahili atafurahia uhondo wa tungo zilizoshiba umahiri wa ubora wa utunzi na utamu wa ujumbe.
| Mediji | Grāmatas Paperback Book (Grāmata ar mīksto vāku un līmēto muguru) |
| Izlaists | 2020. gada 23. jūnijs |
| ISBN13 | 9798656208864 |
| Lapas | 122 |
| Izmēri | 127 × 203 × 7 mm · 140 g |
| Valoda | Angļu |
Vairāk no Jr Christopher R Mwashinga
Rādīt visuSkatīt visus Jr Christopher R Mwashinga ( piem., Paperback Book )