Utumishi Na Uchaji - Rev Dr Gerson Mgaya - Grāmatas - Createspace Independent Publishing Platf - 9781986614436 - 2018. gada 18. marts
Ja vāks un nosaukums nesakrīt, pareizs ir nosaukums

Utumishi Na Uchaji

Cena
€ 15,99

Pasūtīts no attālās noliktavas

Paredzamā piegāde . gada 18. sept. - . gada 2. okt.
Saņemiet paziņojumus par jauniem Rev Dr Gerson Mgaya izdevumiem
Pievienot savam iMusic vēlmju sarakstam

Not rated yet

Hali halisi katika jamii zetu inaonesha kwamba kuna vilio vya aina nyingi. Haipiti siku bila kusikia watu wakilaumu, wakinung'unika, na wengine wakilia hadi kutoa machozi. Ukifuatilia nini kinasababisha vilio hivyo, utasikia sababu nyingi. Lakini sababu mama, yaani sababu ile inayotawala na pengine kuzimeza sababu nyingine zote au kusababisha hizo nyingine ziwepo ni uongozi. Nisemapo uongozi, ninamaanisha watu wale waliopo kwenye nafasi za kuhakikisha au kusimamia mambo katika jamii ili yaende sawa sawa. Maana utasikia kiongozi fulani amewaonea watu, amewapendelea hawa na kuwanyima haki wale, ametumia mali ya taasisi bila kufuata utaratibu au ametumia kwa manufaa binafsi. Na kama ndiyo ameharibika zaidi, utasikia amejinufaisha kupitia watu anaowaongoza. Kwa lugha ya kidini, utasikia amekula kondoo. Kwa sababu ya mambo haya yote, jamii nyingi zimejawa na watu wenye makovu na majeraha yanayosababishwa na uongozi. Hivi ni kwa nini uongozi uliowekwa ili uisaidie jamii, badala ya kufanya hivyo, unaijeruhi jamii? Mwandishi wa kitabu hiki anajadili kuwa sababu kuu ya kiongozi (mtumishi) kusababisha maafa katika jamii anayoitumikia ni kukosekana kwa uchaji katika maisha yake. Maana mtumishi akishindwa kuwa mchaji atafanya makosa. Bila kujali ngazi yake yake, kosa la kiongozi lina harufu tofauti na makosa ya watu wa kawaida. Kwa hiyo, kwa njia ya kitabu hiki, mwandishi anatoa wito kwa watumishi na viongozi wa aina zote kujifunza maisha ya uchaji. Mwandishi anaonesha namna jamii inavyoweza kufaidika pale kiongozi au mtumishi anapokuwa mcha Mungu.

Mediji Grāmatas     Paperback Book   (Grāmata ar mīksto vāku un līmēto muguru)
Izlaists 2018. gada 18. marts
ISBN13 9781986614436
Izdevēji Createspace Independent Publishing Platf
Lapas 208
Izmēri 129 × 198 × 11 mm   ·   208 g
Valoda Swahili  

Vairāk no Rev Dr Gerson Mgaya

Rādīt visu